Msaada: Ni mambo gani ya kuzingatia, baada ya mtu kuchaguliwa kujiunga na chuo?

Msaada: Ni mambo gani ya kuzingatia, baada ya mtu kuchaguliwa kujiunga na chuo?

Habari,

Naombeni msaada kwa kunielewesha mambo ya kuzingatia.

Baada ya kuchaguliwa kujiunga na chuo, maana mimi naona kuna kuconfirm, lakini sijajua vitu gani nahitaji kuandaa kabla ya kuwasili chuo husika, hususani kwa sisi tunaotoka mikoa ya mbali ya vyuo tulivyochaguliwa.
Relax... Kisha ingia kwenye Account ya chuo chako... Download Admission letter .. Huwa inaambatanishwa na Fomu ya afya,Fomu ya mdhamini na Joining instruction ... Jaza hizo Fomu kisha soma maelekezo yaliyopo kwenye joining instruction!! Hakuna cha ziada
 
Hakuna cha kuzingatia. Maisha utayazoea huko huko.

First year lazima uwe na mhaho. Chuoni kwako hawana orientation week?
 
Back
Top Bottom