Msaada ni mara ya pili sasa mbegu za nyanya chungu hazioti

Msaada ni mara ya pili sasa mbegu za nyanya chungu hazioti

Red pen

Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
51
Reaction score
37
Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata!

Vilevile na pilipili hoho zimegoma!! Naombeni mnisaidie nijue nakosea wapi ndugu zangu. Asanteni.
 
Elezea kila kitu ulichofanya kuanzia unavyoanza kuandaa kitalu, kupandikiza mbegu nk
 
Elezea kila kitu ulichofanya kuanzia unavyoanza kuandaa kitalu, kupandikiza mbegu nk
Niliandaa kitalu halafu nikasia mbegu basi, hazijaota. Ilivyogoma, nikaandaa mashimo kabisa shambani, nikaweka mbolea nikaeka punje 3 za nyanya chungu lakin hazikuota bado! Ndo hayo tu mkuu
 
Niliandaa kitalu halafu nikasia mbegu basi, hazijaota. Ilivyogoma, nikaandaa mashimo kabisa shambani, nikaweka mbolea nikaeka punje 3 za nyanya chungu lakin hazikuota bado! Ndo hayo tu mkuu
Uko mkoa gani kiongozi nina mbegu ya nyanya chungu ni balaa hutojutia
 
Kwangu this time zimeota nasubiri zikiwa tayari napandikiza
 
Back
Top Bottom