Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata!
Niliandaa kitalu halafu nikasia mbegu basi, hazijaota. Ilivyogoma, nikaandaa mashimo kabisa shambani, nikaweka mbolea nikaeka punje 3 za nyanya chungu lakin hazikuota bado! Ndo hayo tu mkuu