G GeofK JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 965 Reaction score 1,217 Feb 7, 2023 #1 Habari za kazi wadau, naomba kufahamu ni mkoa Gani ambako wameandaa MASHINDANO ya riadha ya vijana U18, U20 Kwa ajili ya Kuunda timu ya mkoa itakayoshiriki mashindano ya umri huo ktk ngazi ya taifa
Habari za kazi wadau, naomba kufahamu ni mkoa Gani ambako wameandaa MASHINDANO ya riadha ya vijana U18, U20 Kwa ajili ya Kuunda timu ya mkoa itakayoshiriki mashindano ya umri huo ktk ngazi ya taifa