Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 598
- 1,151
Kipindi cha nyuma kidogo Halotel walikua na bando ya gb10 kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili alfajiri. Na sio Halotel tu, hata mitandao mingine ilikua na bando za usiku pia ambazo zilikua spesho sana kwa kushushia mizigo mikubwa kama movies na files nyingine zenye size kubwa. Kwa sasa ni kama hamna mtandao wenye bando ya usiku.
Kwa wazee wa kushusha movies, mnatumia bando ipi na ya mtandao gani kwa sasa kushushia movies?
Kwa wazee wa kushusha movies, mnatumia bando ipi na ya mtandao gani kwa sasa kushushia movies?