Msaada: Ni muda gani unatakiwa kulifanyia service gari lako?

Msaada: Ni muda gani unatakiwa kulifanyia service gari lako?

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
habari wakuu naomba msaada wenu .
mimi si mzowefu wa magari ila ataka kufahamu. gari kama ya abiria coster mbayo inafnya kazi kila siku ..swali langu lina kuja inatakiwa iende kilomita ngapi ndo uifnyie servise? asanteni
 
Prevention is better than cure, that’s why for hassle and worry-free driving always follow the recommended periodic maintenance intervals (every 5000 KM and 10000 KM) for your vehicle.

During periodic maintenance service, vital parts and lubes are inspected and if necessary, replaced, to prevent vehicle breakdown.

upeo
 
habari wakuu naomba msaada wenu .
mimi si mzowefu wa magari ila ataka kufahamu. gari kama ya abiria coster mbayo inafnya kazi kila siku ..swali langu lina kuja inatakiwa iende kilomita ngapi ndo uifnyie servise? asanteni
Fanya service kila Jumapili.
 
Ni vema ukaenda kwa wahusika wa service .suala kama LA muda linategemea na oil unayoweka ni ya muda gani
 
nakushuruni nyote kwa kunipa ushauri mzuti..asanteni sana.
 
Kuna mtu apa atakuja na kukukejeli wewe muujiza swali kwa kukuuliza eti una leseni, madai yake eti kama una leseni uliyoipata kihalali ulitakiwa kuwa unaijua huo muda wa service maana darasani wanafundisha kila kitu
 
duh kama kw kila wiki pesa yote si itamalizia kwenye service?
 
Back
Top Bottom