Tulikua ofisini kwao, Kitambulisho nilikua nacho alichokifanya akaingiza namba kupata details, hapo ndio shida ikaanza. Akasema taarifa kama namba ya simu, education, etc hazipo kwa mfumo kwahiyo natakiwa kujaza upya.Kwamba namba ya nida unayo ama kitambulisho unacho lakini zile taarifa zako hakuna? Ajabu kidogo.
Swali la msingi mlikuwa katika mazingira gani ama ilikuwaje kuwaje mpaka akudai taarifa zako za msingi?
NakaziaAnakutengeneza tu.
Namba zilizopo ktk kitambulisho chako waweza hakika kama ndizo kwa njia mbalimbaliTulikua ofisini kwao, Kitambulisho nilikua nacho alichokifanya akaingiza namba kupata details, hapo ndio shida ikaanza. Akasema taarifa kama namba ya simu, education, etc hazipo kwa mfumo kwahiyo natakiwa kujaza upya.
Ukumbuke hapo nimekwama kuna process naifanya Brela sasa inahitaji makercheker kwenye NIDA, na NIDA kupitia jamaa ndio wanaleta hizo stori.
Mkuu nachohitaji mimi ni taarifa zangu zilizojazwa kwenye mfumo i.e elimu, anuani za makazi, nilipojiandikishia n.kNamba zilizopo ktk kitambulisho chako waweza hakika kama ndizo kwa njia mbalimbali
-Brela
-TRA
-Mitandao ya Simu
Nk
Ni wewe kuchngamsha akili
Unazingua! Jamaa ana shida wewe unatuma upupu...pambavu.
Unazipeleka wapi hizo taarifa nyeti Mkuu?, maana taasisi za serikali zinasomana hivyo huwezi kuchukua taarifa nje ya zilizopo kwenye mfumo.Wakuu amani iwe nanyi.
Twende kwenye mada, ni namna gani naweza pata taarifa zote za namba yangu ya NIDA bila kufika NIDA?
Kwanini bila kufika NIDA?
Nimeona kabisa jamaa ananijaza i.e anasema taarifa zangu za education hazipo kwa mfumo hivyo natakiwa nimtafute nijaze fomu nifanye maombi upya. Kwangu mimi bado haiingii akilini niliona nisibishane nae ili nisipoteze muda wangu. Mwisho akaniandikia taarifa chache tu.