Habarini Za Majukumu Wakubwa? Ninaomba Msaada Wa Kitabibu. Nimekuwa Na Shida Ya Sikio Moja Kuziba Mara Kwa Mara Kwa Nta.
Nimesafishwa Mara Tatu Sasa Hospital Kwa Njia Irrigation. Naomba Wadau Kueleweshwa Tatizo Ni Nini?
Na Tiba Ya Kuzuia Sikio Kutoa Nta Iliyopita Kiasi?
Thank You In Advance For Your Time.