msaada:ni ugonjanjwa gani gastritis

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
waungwana hebu nielewesheni huu ugonjwa huu unaambatana na nani hasaa...
 
nipata kusikia kuwa ni maradhi ya tumbo ila nielewesheni zaidi jinsi yalivyo
 
Its an inflammation of the gastric mucosa,its often associated with helicobacter pylori infection that causes gastric ulcer.
 
Gustrum ni tumbo na gastritis ni inflamation ya tumbo, hasa ukuta wa ndani wa tumbo (hapa tumbo namaahisha ule 'mfuko' unaopokea chakula unachomeza kabla ya kuingia kwenye utumbo). Inflammation ni aina ya hali inayotokea pale sehemu ya mwili inapopata matatizo. Kwa mfano mtu akikuchapa kibao usoni pakavimba, kuwa pekundu, maumivu na 'kuwaka moto', hiyo ndiyo tunayoita inflammation. Mara nyingi inflammation huambatana na kuvimba, kuwa pekundu (damu kuvilia), kuongezeka joto na maumivu katika eneo husika. Infalmmation inaweza kusababishwa na kuumizwa au maambukizi ya vijidudu.
Kwa hiyo gastritis ni inflammation ya ukuta (wa ndani) wa tumbo ambayo mara nyingi husabishwa na bacteria lakini pia vitu 'vikali' kama pilipili nyingi nk...
aina nyingine za inflammation ni kama
arthritis - inflammation ya viungo
gingivitis - inflammation ya fizi za meno
urethritis- inflammation ya urethra
testiculitis - inflammation ya pumbu
nk
 

mkuu, nini dawa ya hii gastritis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…