Niomi kaka
Member
- Feb 28, 2025
- 8
- 8
Habari za asubuhi,
Samahani mimi ni mgeni humu japokuwa nimekuwa mfuatiliaji wa habari mbalimbali za JamiiForums. nimeamua kuwa mwanafamilia ili na mimi niwe nachangia hoja,
Leo nitaomba mnisaidie mwongozo coz humu kuna watu tofauti tofauti.
Mimi ni mkristo na muumini wa kanisa la KKKT, toka ninazaliwa na kujitambua nimekuwa nikisali humo.
Lakini kwa sasa nataka nibadili dhehebu nataka nihamie Pentecoste kwahiyo nahitaji kujua utaratibu wa dhehebu hilo kabla sijaonana na uongozi husika, coz nilita nibatizwe kabisa