Niomi kaka
Member
- Feb 28, 2025
- 8
- 8
na mafundisho huchukua muda gani?Kwa baadhi ya makanisa ya pentekoste ni lazima kwanza upate ubatizo wa maji mengi hii ni baada ya mafundisho ya kuukulia wokovu
nimeamua tuuSababu zakuhama ni nini ?
Samahani.
asanteUnaenda tu, itatangazwa siku ya ubatizo kabatizwe maana huuamini ule ubatizo wa awali.
navutiwaga na pentecostal ndio maana nataka nihamie hukoHamia dhehebu lolote karibu yako anza kulipa fungu la kumi hapo mshirika tayari
Mimi ni mkristo na muumini wa kanisa la KKKT, toka ninazaliwa na kujitambua nimekuwa nikisali humo.
Lakini kwa sasa nataka nibadili dhehebu nataka nihamie Pentecoste kwahiyo nahitaji kujua utaratibu wa dhehebu hilo kabla sijaonana na uongozi husika, coz nilita nibatizwe kabisa
asante kwa maoni yakoKwani kumuabudu Mungu kuna suala la utaratibu?
Ibada inahitaji Mungu, mtu, sehemu(wengine huita madhabahu) na kuhani basi...
Hilo kanisa unalotaka kwenda linafungwa mwaka huu.Habari za asubuhi,
Samahani mimi ni mgeni humu japokuwa nimekuwa mfuatiliaji wa habari mbalimbali za JamiiForums. nimeamua kuwa mwanafamilia ili na mimi niwe nachangia hoja,
Leo nitaomba mnisaidie mwongozo coz humu kuna watu tofauti tofauti.
Mimi ni mkristo na muumini wa kanisa la KKKT, toka ninazaliwa na kujitambua nimekuwa nikisali humo.
Lakini kwa sasa nataka nibadili dhehebu nataka nihamie Pentecoste kwahiyo nahitaji kujua utaratibu wa dhehebu hilo kabla sijaonana na uongozi husika, coz nilita nibatizwe kabisa
NAFUATA dhehebu sifuati kanisaHilo kanisa unalotaka kwenda linafungwa mwaka huu.
Dhehebu ni la kikristu na KKKT ni la kikristu, ila kanisa unalokwenda ni la Pentekosti.NAFUATA dhehebu sifuati kanisa