Msaada;Ni utaratibu upi wa kufuata kujiunga na Masomo ya degree?

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
nina mdogo wangu wa kike naishi naye hapa kwangu na amemaliza diploma mwaka jana maana yeke naye anasuburi ajira,
lakini sasa katika mtihani wake alipass akapata gpa 2.6 kwa mitihani yao ya diploma, baada ya kusubiri ajira mda mrefu bila mafanikio anataka kuendelea na masomo ya degree.
Swali langu kwanza sijafahamu utaratibu wake wa kujiunga na masomo hayo na je gpa hiyo ina mruhusu?? Na kama haimuruhu kuna mitihani nasikia huwa inafanywa vyuoni kwa wale ambao hawaja timiza vigezo coz cheti cha chake cha fm six ana three nafikiri d na s ,s
naomba anaye jua anijuze tafadhari kuhusu hilo likpoje???
 
mawazo yenu ni muhimu tafadhari!
 
Taja kozi aliyosomea mkuu, ila kama ni diploma ya ualimu anatakiwa aombe TCU, {Tanzania Commision for Universities} hao wanapoomba huwa wanatumia equivalent yani kwa yeye aliyepitia diploma, atakapoingia kwenye process atakuta sehemu inayotakiwa ajaze matokeo yake ya kidato cha sita na sehemu ya kujaza matokeo ya chuo kama equivalent, hivyo TCU watamsajili kwa matokeo yake ya chuo kutokana hapo kwenye matokeo yake kidato cha sita hayana vigezo, wanahitaji principal pass mbili.Hatua ya pili itabidi alipie fedha kwa M-pesa Loan body kwa kutumia namba yake ya kidato cha nne, kisha ile namba ya inayoandikwa imethibitishwa ndio inatakiwa akaitumie kwenye kudownload fomu ya bod ambayo taarifa zote atajazia humo kisha atadownload na kuanza mchakato wa kupitisha kwa mwnykt wa kitongoji, mtendaji na mwisho hakimu. Kumbuka kuwa zoezi hili utaanza mara moja litakapotangazwa.Kama nitakuwa nimekosea kumuelekeza wadau mnaweza kurekebisha.
 
nina mdogo wangu wa kike naishi naye hapa kwangu na amemaliza diploma mwaka jana maana yeke naye anasuburi ajira,
lakini sasa katika mtihani wake alipass akapata gpa 2.6 kwa mitihani yao ya diploma, baada ya kusubiri ajira mda mrefu bila mafanikio anataka kuendelea na masomo ya degree.
Swali langu kwanza sijafahamu utaratibu wake wa kujiunga na masomo hayo na je gpa hiyo ina mruhusu?? Na kama haimuruhu kuna mitihani nasikia huwa inafanywa vyuoni kwa wale ambao hawaja timiza vigezo coz cheti cha chake cha fm six ana three nafikiri d na s ,s
naomba anaye jua anijuze tafadhari kuhusu hilo likpoje???

GPA 2.7 for diploma holders ndo wanaruhusiwaa kusoma degree. for this case aisee ni ngumu kukushaurii...!let see others views...!
 
Back
Top Bottom