Tetesi: MSAADA; Ni vip nipromote account yangu Instagram na facebook?

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Husika na kichwa cha habari,

Naomba anayejua anisaidie jinsi ya kufanikisha kupromote account yangu ya insta na facebook.

+255744597493
 
Huko huko ista au Facebook unaingia Kuna sehemu ya kupromote account yako nadhani ni lazima iwe page baada ya hapo unalipia kwa usd kadhaa wao Sasa wanaipromote ndani ya muda mfupi itakuwa umeshajulikana kwaiyo andaa pesa upromote account yako
 
asante mkuu. Ila sasa changamoto jinsi ya kulipa kwa hizo usd.. Sina bank account kwa sasa
 
Huko huko ista au Facebook unaingia Kuna sehemu ya kupromote account yako nadhani ni lazima iwe page baada ya hapo unalipia kwa usd kadhaa wao Sasa wanaipromote ndani ya muda mfupi itakuwa umeshajulikana kwaiyo andaa pesa upromote account yako
Gharama zake zikoje mkuu? Kama unafahamu.
 
dola moja unaweza fikia watu 800, kikubwa andika makala nzuri watu washawishike kukufollow. ukiandika pumba hata ukipromote hakuna wa kukufollow. ingia airtel money tengeneza kadi ya master card utapewa taarifa za card yako. kisha ingia fb tengeneza page yako, baada ya hapo utapewa option ya kupromote page yako, utachagua plan yako utakayo utajaza taarifa zako za master card, done. kumbuka fb hawapromote personal ac ni page tu
 
kama bado hujaelewa uliza
 
Nmekupata vizuri sanaaa mkuu... Hv kuna option ya kufanya page yangu iwe ionekane kwa watu katika location fulani tu? labda page yangu iwe more visible na watu wa mkoa fulani?
 
Nadhani umepewa ushauri mzuri, ukiwa na wasiwasi ingia Google or YouTube huko utashindwa wewe tu!
 
Back
Top Bottom