newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
okey!!Kama ni tetesi huenda huna hizo accounts
Huko huko ista au Facebook unaingia Kuna sehemu ya kupromote account yako nadhani ni lazima iwe page baada ya hapo unalipia kwa usd kadhaa wao Sasa wanaipromote ndani ya muda mfupi itakuwa umeshajulikana kwaiyo andaa pesa upromote account yakoHusika na kichwa cha habari,
Naomba anayejua anisaidie jinsi ya kufanikisha kupromote account yangu ya insta na facebook.
+255744597493
asante mkuu. Ila sasa changamoto jinsi ya kulipa kwa hizo usd.. Sina bank account kwa sasaHuko huko ista au Facebook unaingia Kuna sehemu ya kupromote account yako nadhani ni lazima iwe page baada ya hapo unalipia kwa usd kadhaa wao Sasa wanaipromote ndani ya muda mfupi itakuwa umeshajulikana kwaiyo andaa pesa upromote account yako
asante mkuu. Ila sasa changamoto jinsi ya kulipa kwa hizo usd.. Sina bank account kwa sasa
Subiri majibu ya wadau wengine uone wanasemaje ikiwa hauna account
Tumia zile virtual mastercard za mitandao ya simu huna haja ya kuwa na account ya bank miaka hii....... Airtel wanayo, vodacom wanayoasante mkuu. Ila sasa changamoto jinsi ya kulipa kwa hizo usd.. Sina bank account kwa sasa
Gharama zake zikoje mkuu? Kama unafahamu.Huko huko ista au Facebook unaingia Kuna sehemu ya kupromote account yako nadhani ni lazima iwe page baada ya hapo unalipia kwa usd kadhaa wao Sasa wanaipromote ndani ya muda mfupi itakuwa umeshajulikana kwaiyo andaa pesa upromote account yako
dola moja unaweza fikia watu 800, kikubwa andika makala nzuri watu washawishike kukufollow. ukiandika pumba hata ukipromote hakuna wa kukufollow. ingia airtel money tengeneza kadi ya master card utapewa taarifa za card yako. kisha ingia fb tengeneza page yako, baada ya hapo utapewa option ya kupromote page yako, utachagua plan yako utakayo utajaza taarifa zako za master card, done. kumbuka fb hawapromote personal ac ni page tuGharama zake zikoje mkuu? Kama unafahamu.
kama bado hujaelewa ulizadola moja unaweza fikia watu 800, kikubwa andika makala nzuri watu washawishike kukufollow. ukiandika pumba hata ukipromote hakuna wa kukufollow. ingia airtel money tengeneza kadi ya master card utapewa taarifa za card yako. kisha ingia fb tengeneza page yako, baada ya hapo utapewa option ya kupromote page yako, utachagua plan yako utakayo utajaza taarifa zako za master card, done. kumbuka fb hawapromote personal ac ni page tu