Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

ProMagufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
253
Reaction score
270
Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
 
Funguka mkuu shida nini mwanzo wa tatizo nk
 
anxiety kifupi haina common test but ukikutana na psychiotric expat ataitambua kwa talks and clinical signs utakazoelezea then ataamua aina ya matibabu upewe,either talk theurapy au pharm theurapy
 
sawa wanapatikana wapi?
 
Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.

Mimi pia ni mhanga wa hili tatizo,nishaenda hospital lakin wapi…Hii hali unaweza kujitibu mwenyewe kwa kufanya mazoezi na kula almonds pia acha vitu kama soda hasa pepsi
 
shukrani mkuu
 
unaweza kuwakuta hasa hosp za rufaa, ratba yao mara nyingi huwa wana siku maalumu ya kuonana na wagonjwa hivyo waone mpange appointment.lakini pia unaweza kunieleza clinical signs zako naweza kushauri nini cha kufanya kwa sehemu yangu ndugu

shukrani nakucheki pm.
 
anxiety kifupi haina common test but ukikutana na psychiotric expat ataitambua kwa talks and clinical signs utakazoelezea then ataamua aina ya matibabu upewe,either talk theurapy au pharm theurapy
Dah nimevutiwa sana na hiyo professional mpya inayoitwa "psychiotric expat"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pray,acha pombe, kahawa kama mnywaji,exercise,health diet ,upate muda wa kutosha wa kulala, talk to someone unae muamini(doc,fam,friend kuongea kunasaidia sana etc) Relax everything will be okay!
 
Mimi pia ni mhanga wa hili tatizo,nishaenda hospital lakin wapi…Hii hali unaweza kujitibu mwenyewe kwa kufanya mazoezi na kula almonds pia acha vitu kama soda hasa pepsi
ndo tatizo gani hili mkuu?
fafanua kwa faida ya watu wa jamii forums
 
Kikubwa shida ya jamaa ni nguvu za kiume related problem.

Anakuwa na uoga flani hivi anapokutana na demu kipindi cha kunyanduana.

Anaweza akawa anamchezea demu mashine imesimama vizuri ila akitaka kuchomeka tu hapohapo inakata moto inakuwa kama mkufu.

Kwahiyo ndo anataka kuonana na watalaam wakague shida yake ya kisaikolojia zaidi.

Me nimefungua tu mabano mtoa post atasema zaidi.
 
Haha. Sijawahi mbona. Hauko sahihi
 
Back
Top Bottom