GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Habari za jumapili wanafamilia wa jf. Nina rafiki wa kike toka marekani. Amekuwa akinitumia zawadi mbarimbari laini mimi sijawahi hata kumtumia zawadijapo moja[emoji85]. Nimefikili na kuona ni wakati mzuri nami niweze kutuma zawadi yoyote lakin itajikita kwenye culture. Naombeni ushauri wanamitindo. Ni zawadi gani itafaa? Na kwa morogoro mjini nitaipata duka gani? Nawasilisha