Msaada. Ni zawadi gani nzuri kwa rafiki wa kizungu?

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
Habari za jumapili wanafamilia wa jf. Nina rafiki wa kike toka marekani. Amekuwa akinitumia zawadi mbarimbari laini mimi sijawahi hata kumtumia zawadijapo moja[emoji85]. Nimefikili na kuona ni wakati mzuri nami niweze kutuma zawadi yoyote lakin itajikita kwenye culture. Naombeni ushauri wanamitindo. Ni zawadi gani itafaa? Na kwa morogoro mjini nitaipata duka gani? Nawasilisha
 
Kwanza angalia bodystracture yake, kisha mnunulie viatu na nguo za vitenge ama zilizo shonwa kiafrika zaidi kama:-
 
Cc Mudawote
 
Mimi nikishawahi kumtumia volunteer mmoja mUSA ila ilikuwa kitambo sanaa nilituma sendonza kike za kimasai kali sanaa nilinunua pale iringa alafu na kq bangiki flan ka culture kakali mnooo bro nakumbuka nilichajiwa elfu 36 pale posta mzigo ukapimwa ukakutwa na gram 6 ila ss yule manzi alikaa sanaa akaja akanitumia postcard ya manhattan skyline NY hapo nikasitisha huduma ya kutuma zawadi
 
batiki moja matata sana au kikoi
 
Mnunulie sandals nzuri za kimasai, bangili, hereni na cheni z culture, nguo zile zenye African print (shati), batiki nk
Hongera mi naomba connection bro, uni connect hata na babu yake
 
Hirizi au Tunguli
 
Mnunulie sandals nzuri za kimasai, bangili, hereni na cheni z culture, nguo zile zenye African print (shati), batiki nk
Hongera mi naomba connection bro, uni connect hata na babu yake
Hahahaha thanks sana mdau. Connection zipo nyingi sana. Ni wewe tu
 
Hahahahah thanjs mdau
 
Pelekee kinu na mtwangio na mafungu ma5 ya kisamvu
 
🤗🤗 nikupongeze kwa ujasiri wa kuuliza, what I know n kwamba zawadi kubwa kwa wenzetu wamagharibi hasa kwa jinsia ya kike ni MAUA hapo ataamini kweli unamthamini yangu n hayo🍁🌷🌹
 
[emoji847][emoji847] nikupongeze kwa ujasiri wa kuuliza, what I know n kwamba zawadi kubwa kwa wenzetu wamagharibi hasa kwa jinsia ya kike ni MAUA hapo ataamini kweli unamthamini yangu n hayo[emoji260][emoji255][emoji257]
Ahsante sana kwa mchango wako. [emoji2935]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…