Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize kuna dada mmoja humu anaitwa Conor atakujibuHabari zenu Wakuu, natumai ni wazima wa afya.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninaomba kujua athari za mtu anayetumia ugoro kwa kuuweka mdomoni kama kuberi. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
@conorMuulize kuna dada mmoja humu anaitwa Conor atakujibu
DuuhUgoro, kuber khan, golden khan, parik, gutka....sijui madude gani mengine ni upuuzi tuu
Ugoro unafanya unaathali nyingi ikiwemo kuudhoofisha mwili nina uhakika huwezi kupiga hata bao tatu ukitumia Ugoro pia hupoteza hamu ya kula, huaribu fizi pamoja na meno na hata mfumo wa chakula huaribika, kingine hutema mate kama una mimba changa, jambo ambalo si jema mbele za watu pia mla Ugoro hujitenga na watu wenye dili sababu hakuna mtu anayeweza kukupa dili na mimate unayotema.....babu kama ni wewe ama ni jamaa wa karibu aache hizo vitu...Afya itarudi na maji atakunywa