Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unataka kuacha?jamani nifanyeje niache pombe nimefanya kila njia lakini naona nashindwa nkikaa wiki mbili tu kiu inakuja nalazima nkapige mbili tatu nifanyaje niache wadau
Hili swala liko very spiritual.Nimejikuta nikinywa pombe kila siku hasa ninapotoka home ,ndani hakukaliki hujikuta naenda bar.Naombeni msaada namna ya kuacha.
natak kuacha sababu mara kadhaa imekuw ikinnzalilisha yan huwa napoteza fahamuKwanini unataka kuacha?
hahaha ay bn mkubwaUache pombe??alafu iweje? Embu kuwa siriaz bana,piga maji mangi
asante mkuuHili swala liko very spiritual.
Ingia kwenye kufunga Na kuomba, Mungu atakubadilisha tabia
asanteAcha kabisa hamu ikikujia usinywe potezea mpaka itazoea
Ukiwa unapata hamu.ya pombe jitahidi kua unakunywa mikojo ya samaki....au maziwa ya kuku....kama hunaNimejikuta nikinywa pombe kila siku hasa ninapotoka home ,ndani hakukaliki hujikuta naenda bar.Naombeni msaada namna ya kuacha.
Nimejikuta nikinywa pombe kila siku hasa ninapotoka home ,ndani hakukaliki hujikuta naenda bar.Naombeni msaada namna ya kuacha.