Ukiacha kazi wewe ndio unailipa taasisi, taasisi haiwezi kukulipa kwa wewe kuacha kazi, napata wasiwasi Kama ushahidi upo wazi kwamba katenda kosa why wampe option ya kuacha kazi yeye badala ya taasisi kumchukulia hatua?Wakuu, kuna bwana mdogo kaniomba ushauli, katika ofisi anayofanyia kazi, ilionekana kuwa alitenda kosa fulani, akaandika barua ya kukana kosa hilo, ila ofisi ikasema imefanya uchunguzi ikabainika kuwa ni kweli kosa hilo alifanya (JAPO YEYE AMEKANA)
Sasa amepewa option mbili,
1. Aandike leo barua ya kujiuzulu (kuresign) ili apewe/alipwe na mshahara wake wa mwezi huu. Ama
2. Asubili uongozi/mwajiri amuandikie barua ya kufukuzwa kazi, na akifukuzwa kazi hatapewa mshahara wake wa mwezi huu.
Wajuvi wa sheria, hizi optional mbili mnazionaje? Tumshauli nini huyu ndugu.......?
Asanteni.
Kwa sheria ipi ya kazi ambayo uikiacha kazi unalipwa? Huo ni mtego Kama kweli kaambiwa hivoHiyo imeshakula kwake. He has to go. There is no way he will stay... Cha kufanya aandike barua ya kujiuzulu kwa kuwa inawekwa kwenye file lake. Ili huko mbele wakitaka reference wakarefer kwenye file inaonekana ali resign na sio kufukuzwa.
Pia angalau huo mshahara utamsogeza sogeza...
Mwambie aandike barua ya ku resign...
Mshahara wa mwezi mmoja wa muajiri ni pesa ndogo sana. Believe me. Atalipwa... Ila pesa itatoka mwisho wa mwezi pamoja na mishahara ya wafanyakazi wengine...Kwa sheria ipi ya wafanyakazi ambayo kmukiacha kazi unalipwa? Huo ni mtego Kama kweli kaambiwa hivo
Hamna sheria hiyo, sheria iliyopo sasa ukiacha kazi ndani ya masaa 24" wewe uliyeacha" ndio unailipa taasisi/kampuni mshahara wako wa mwezi Kama fidiaMshahara wa mwezi mmoja wa muajiri ni pesa ndogo sana. Believe me. Atalipwa... Ila pesa itatoka mwisho wa mwezi pamoja na mishahara ya wafanyakazi wengine...
Sasa lengo lako ni kubishana au kuelewa? Hakuna sheria ila waajiri wengi hawapendi mambo ya migogoro ya wafanya kazi ya kupelekana mahakamani. Ndio maana wengi wanatoa mshahara kama favor ili wewe mwajiriwa uchukue option ya ku resgin badala ya option ya wewe mwajiriwa kufukuzwa kazi...Hamna sheria hiyo, sheria iliyopo sasa ukiacha kazi ndani ya masaa 24" wewe uliyeacha" ndio unailipa taasisi/kampuni mshahara wako wa mwezi Kama fidia
Una evidence na hiki unachokizungumza? Yaani taasisi ikukute na kosa then ikubembeleze uache kazi ili ikulipe?, Unajua hakuna ushahidi mbaya Kama wa maandishi?, Akikubali kuandika barua ya kuacha kazi rasmi, mwajiri atasimamia sheria maana ushahidi anao tayari hata mahakamani hatoweza kuyakana maandishi yake, hapo atategemea huruma tu ya mwajiri ambapo sheria haiitambui. Lakini Kama Yuko kwenye haki asimamie haki yake aache wamfukuze halafu aende mahakamani Kama hajafanya kosa mahakama itaamua na atarudi kazini.Sasa lengo lako ni kubishana au kuelewa? Hakuna sheria ila waajiri wengi hawapendi mambo ya migogoro ya wafanya kazi ya kupelekana mahakamani. Ndio maana wengi wanatoa mshahara kama favor ili wewe mwajiriwa uchukue option ya ku resgin badala ya option ya wewe mwajiriwa kufukuzwa kazi...
Unalipa kama umeacha kazi bila notisi na si vinginevyo.Ukiacha kazi wewe ndio unailipa taasisi, taasisi haiwezi kukulipa kwa wewe kuacha kazi, napata wasiwasi Kama ushahidi upo wazi kwamba katenda kosa why wampe option ya kuacha kazi yeye badala ya taasisi kumchukulia hatua?
Au wanataka kumfukuza kiaina, na Kama jamaa hajatenda anajiamini ana haki ya kusimamia ukweli kutetea haki yake
Lakin aliemwambia hvo n mtu mmoja na c bodi ya kinidham, na aliemwambia akamwambia asimwambie mtu kuwa ameshauliwa kufanya hvo.Hiyo imeshakula kwake. He has to go. There is no way he will stay... Cha kufanya aandike barua ya kujiuzulu kwa kuwa inawekwa kwenye file lake. Ili huko mbele wakitaka reference wakarefer kwenye file inaonekana ali resign na sio kufukuzwa.
Pia angalau huo mshahara utamsogeza sogeza...
Mwambie aandike barua ya ku resign...
Kaambiwa kwenye maelezo aandikw kuwa ameamua kuacha kaz ila aendelee kufahya kazi mpaka mwisho wa mwezi huuMshahara wa mwezi mmoja wa muajiri ni pesa ndogo sana. Believe me. Atalipwa... Ila pesa itatoka mwisho wa mwezi pamoja na mishahara ya wafanyakazi wengine...
Hiyo imeshakula kwake. He has to go. There is no way he will stay... Cha kufanya aandike barua ya kujiuzulu kwa kuwa inawekwa kwenye file lake. Ili huko mbele wakitaka reference wakarefer kwenye file inaonekana ali resign na sio kufukuzwa.
Pia angalau huo mshahara utamsogeza sogeza...
Mwambie aandike barua ya ku resign...