Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
Kutokana na span kuwa kubwa, ukitumia angle ya 45 paa litaenda juu sana ambapo kingpost height itabidi iwe 6mHabari wakuu,
Kwa nyumba yenye ukubwa wa 13m kwa 12m (urefu na upana), ili iwe na mwonekano mzuri, urefu wa paa (king post height) unatakiwa uweje kwa kipimo cha futi?
NimechekaMafundi wa siku hizi wanaitafutia huko juu kwa juu. Yaani anasimamisha ubao anaanza kumuuliza mwenzake aliyechini 'hapo vipi'!
Akisema hapo poa, wanaanza kugongelea mbao. Hakuna tena habari za calculation