msaada nifahamisheni mshaharA wawalimu

msaada nifahamisheni mshaharA wawalimu

Msaada naomba kufahamu mshahara wawalimu wa sekondar
Kwanza hakuna Mwalimu wa Sekondari ila kuna Mwalimu Grade IIIA, Mwalimu Mwenye diploma (Stashahada) na Mwalimu Mwenye Shahada ya Kwanza (Digrii). Wewe unataka level gani?
 
MSHAHARA MWALIMU WA CERTIFICATE 2,44,400/= diploma 3,25,000/= DEGREE 4,69,000/=
 
MSHAHARA MWALIMU WA CERTIFICATE 2,44,400/= diploma 3,25,000/= DEGREE 4,69,000/=
Duh tuliokimbia hesabu tupo wengi? Koma inawekwa baada ya namba tatu toka kulia bwana ebo!!! Yaani 469,000/-, 325,000/- na 244,400/-
 
Back
Top Bottom