Msaada! Nifanyaje ili niweze kuziona avatar?

Bwana kaduga

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
863
Reaction score
1,812
Nime download app ya jamiiforums lakini sioni avatar za wanajf , kama kuna namna ya kuset ili niweze kuziona tafadhari naomba kujuzwa. Awali nilikua nikitumia jamiiforums ya kwenye free basic huko ndio nilikua nikiziona.
 
Kosa lolote lile hupelekea wewe kublokiwa na watumiaji wenzako, na akikublock mmoja unashindwa kuona avatar za wote.

Pole sana.
Bado hujanishawishi had I nikuelewe na huenda hujanielewa nilicho kiandika.
 
Nime download app ya jamiiforums lakini sioni avatar za wanajf , kama kuna namna ya kuset ili niweze kuziona tafadhari naomba kujuzwa. Awali nilikua nikitumia jamiiforums ya kwenye free basic huko ndio nilikua nikiziona.
Uninstall kisha install tena... Pia check simu yako kama resolution ya kioo ni chini ya 5.1 unaweza kupata hiyo shida hasa kwa app mpya
 
Dah...umeiona sasa?
1524396186109.jpg
 
Uninstall kisha install tena... Pia check simu yako kama resolution ya kioo ni chini ya 5.1 unaweza kupata hiyo shida hasa kwa app mpya
Mkuu Sky anadai kuwa umempiga makofi mengi sana![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Inategemea na seting ya cm yake upande wa app ya jf unaweza click uone au usione
 
Back
Top Bottom