Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 863
- 1,812
Tafadhari naomba unijuze kosa lililo pelekea kublock.Tumekublock
Kosa lolote lile hupelekea wewe kublokiwa na watumiaji wenzako, na akikublock mmoja unashindwa kuona avatar za wote.Tafadhari naomba unijuze kosa lililo pelekea kublock.
Bado hujanishawishi had I nikuelewe na huenda hujanielewa nilicho kiandika.Kosa lolote lile hupelekea wewe kublokiwa na watumiaji wenzako, na akikublock mmoja unashindwa kuona avatar za wote.
Pole sana.
Uninstall kisha install tena... Pia check simu yako kama resolution ya kioo ni chini ya 5.1 unaweza kupata hiyo shida hasa kwa app mpyaNime download app ya jamiiforums lakini sioni avatar za wanajf , kama kuna namna ya kuset ili niweze kuziona tafadhari naomba kujuzwa. Awali nilikua nikitumia jamiiforums ya kwenye free basic huko ndio nilikua nikiziona.
Hapo unaona avatar yangu?Bado hujanishawishi had I nikuelewe na huenda hujanielewa nilicho kiandika.
Nimekuelewa pia kioo change in chini ya 5.1 kweli.Uninstall kisha install tena... Pia check simu yako kama resolution ya kioo ni chini ya 5.1 unaweza kupata hiyo shida hasa kwa app mpya
Siioni kwa sababu tatizo langu bado halijatatuliwaHapo unaona avatar yangu?
unaweza ukatamani kulia lakini inakubidi ucheke tuDah...umeiona sasa?
View attachment 753267
mbona mi naiona ya demiss itakuwa tatizo ni simu yakoNime download app ya jamiiforums lakini sioni avatar za wanajf , kama kuna namna ya kuset ili niweze kuziona tafadhari naomba kujuzwa. Awali nilikua nikitumia jamiiforums ya kwenye free basic huko ndio nilikua nikiziona.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mbona mi naiona ya demiss itakuwa tatizo ni simu yako
Mkuu Sky anadai kuwa umempiga makofi mengi sana![emoji53][emoji53][emoji53]Uninstall kisha install tena... Pia check simu yako kama resolution ya kioo ni chini ya 5.1 unaweza kupata hiyo shida hasa kwa app mpya
Mkuu km hiyo avatar ndio ww mwenyewe,nitajitosa tu na sitoogopa kurogwa tena[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
ThubutuuuMkuu km hiyo avatar ndio ww mwenyewe,nitajitosa tu na sitoogopa kurogwa tena