Msaada nifanye biashara gani?

baba ngida91

Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
5
Reaction score
3
Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa..

Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka?

Na kama kuna idea nyingine ya designing ambazo naweza pata soko tafadhari karibu kwa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…