Depretty
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 248
- 99
habari wanajf
mimi ni kijana wa kike umri 23,elimu yangu kidato cha 4,,nimejitahid kufanya vibarua vya hapa na pale na kuweza kusave kiasi cha pesa cha tsh 200,000...
kama swali linavyojieleza hapo juu kwamba naomba mnisaidie wazo kipi cha kuifanyia hicho kiasi cha pesa katika biashara au nikasome tu ujuzi wowote mfno upambaji wa ukumbi,saloonist????
nakaribisha mawazo ya biashara (japo kwa mim kama ni biashara basi nguo za mitumba ndo nna idea nayo)
pia nakarbisha wazo la kozi ya kusomea amabyo inafit kias cha pesa nilichonacho...
shukran