Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,591 Reaction score 14,369 Jul 7, 2023 #1 Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 916 Reaction score 1,562 Jul 7, 2023 #2 Right click hapo kwenye desktop then utaona option imeandikwa "show desktop icons". Bonyeza hapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 7, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
jeremia lubango New Member Joined Apr 18, 2018 Posts 4 Reaction score 4 Jul 10, 2023 #4 Right click Personalize Theme Click to expand... Then Desktop icon settings Weka tick Save Click to expand...
Right click Personalize Theme Click to expand... Then Desktop icon settings Weka tick Save Click to expand...
enzo1988 JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 2,624 Reaction score 9,987 Jul 10, 2023 #5 African Geek said: Right click hapo kwenye desktop then utaona option imeandikwa "show desktop icons". Bonyeza hapo Click to expand... Hapa right click aende juu kuna neno 'view' kisha ashuke mwisho ndiyo ataona 'Show desktop icons'
African Geek said: Right click hapo kwenye desktop then utaona option imeandikwa "show desktop icons". Bonyeza hapo Click to expand... Hapa right click aende juu kuna neno 'view' kisha ashuke mwisho ndiyo ataona 'Show desktop icons'