Msaada: Nikiingia YouTube sioni sehemu ya kutolea maoni

Msaada: Nikiingia YouTube sioni sehemu ya kutolea maoni

Kine Master

Senior Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
153
Reaction score
71
Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla.

Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli walioiva kwenye techs sasa ni siku ya 7.

Kila siku nikiingia youtube sioni option ya kutoa maoni au kuangalia comments za watu nimejaribu ku-log out akaunti yangu ya google na ku-sign in lakini tatizo liko pale pale.

Msaada please.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom