Msaada: Nikilala naongea kwa sauti ndotoni

Msaada: Nikilala naongea kwa sauti ndotoni

rmo

Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
97
Reaction score
101
Wadau,

Mimi ni muathirika wa hili tatizo tangu nimezaliwa.Kwa walio karibu nami huwa wananambia naongea vitu vingi sana tena kwa sauti kubwa.

Sasa kinachoniogopesha ni kwamba huwa naongea yale ninayowaza so nakua natoa hata siri zangu bila kujijua.

Kuna watu walinishauri mpaka nitumie dawa za kienyeji, nami ni muoga sana wa hizo dawa au kwenda kwa waganga.

Kwa kweli hii kitu inanikosesha sana amani hasa napokua ugenini.

Msaada ndugu zangu kama kuna njia yoyote ya kuondoa tatizo hili
 
hata mimi tabia hiyo nilikuwa nayo zamani ila nilikuwa siongei kila siku, kwani una umri gan sasa??
 
Hili tatizo lilishawahi kunikuta ila likaja kuisha automatically
 
Back
Top Bottom