Msaada: Nikiongea na msichana natokwa na ute kama shahawa

Joined
Apr 26, 2018
Posts
27
Reaction score
3
Habari zenu wana JF siku hizi nimekua kama nina katatizo kamenianza sijui ni tatizo au uginjwa yaani nikiwa naongea na msichana nikitoka baada ya muda natokwa na ute wa shahawa na muda mwingine napomaliza haja ndogo ute wa shahawa unanitoka...Naombeni msaada ndugu.
 
Hahaahaha jamaa weee bana ,hujawah kusex? Au umepitisha muda mrefu sana ??

Tafuta demu kula.mzigo.
 
pole sana ndugu mimi mwenyewe nilikuwa kama wewe nikatafuta tiba miaka mitatu nikakosa ila nimepona kwa vitu vdogo sana
Fanya aya
Unapo ongea na uyo msichana punguza uwoga na wasiwasi wa kumuwazia sijui itakuaje ama nitfanikiwa au atanikubalia wasiwasi uo toa kabisa

kingine fanya mazoezi marakwa mara ili kuuonda uwoga ulio kwenye akili yako pia usababisha kuwa hivyo

usipende kuangalia video za ngono kwa sabu zinakualibu kisaikolojia pia uchangia kuwa hivyo na ukiwa unapenda kuangalia saana inakupelekea kupga punyeto ndio utazidi kuongeza matatizo

Kwa ushauri zaidi tafuta kitabu kiitwacho NGUVU YA TUMAINI kushinda mfadhaiko wasiwasi na msongo wa mawazo kitakusaidia mdau tatizo dogo sana ilo kama unataka maelekezo zaidi njoo pm for free
 
Pole sana , hiyo inaitwa "precum" ni kitangulizi cha bao, inatengenezwa na kisehem kinaitwa "seminal vessicles" nyuma ya uume ,hua inatolewa kuneutralize acidity ya urethra na kwenye uke maana chenyewe ni alkaline in nature,pia kulubricate urethra yako kabla bao halijapita.

Turudi kwenye shida yako kuna possibility mbili
1.unapiga sana punyeto
2.unawaza sana ngono

Kwa sababu ili precum itoke ina maana unajiandaa kupiga bao yani umekua stimulated, so ina maana ukiongea na mwanamke tu ushawaza ngono na kwa kua umejizoeza hivyo au umepiga sana punyeto kuna vitu vitatu vinaweza kua vimetokea
1.valve za kuzuia hiyo precum zimelegea
2.parasympathetic nervous system yako inayocontrol ejaculation imeathirika.l au
3.misuli ya chini ya nyonga inayocontrol mkojo, bao na vitu kama hivyo "pubococcygeal" imelegea
Mwa hiyo we ukishawaza ngono tu kila kitu kiko wazi vinapita, na kwa hali hii ipo siku utajipiga bao kwa kuongea tu
4.pia nahisi hata sa hzi unapiga bao mapema sana (premature ejaculation)

Suluhusho
1.ACHA PUNYETO
2.Punguza kuwaza ngono (najua huwezi kuacha ,punguza tu [emoji23] )


Maumivu yakizidi muone daktari (urolojist) kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…