Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ni jambo la kawaida. Inaonekana unanyegeka mapema sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miaka 24Umri wako na picha tafadhali
hatari BossItabidi nichungulie na kujisomea maana na mim hili tatizo ninalo saana. Duh
nimeipenda hii mkuu naomba Namba yako ase!!?Pole sana , hiyo inaitwa "precum" ni kitangulizi cha bao, inatengenezwa na kisehem kinaitwa "seminal vessicles" nyuma ya uume ,hua inatolewa kuneutralize acidity ya urethra na kwenye uke maana chenyewe ni alkaline in nature,pia kulubricate urethra yako kabla bao halijapita.
Turudi kwenye shida yako kuna possibility mbili
1.unapiga sana punyeto
2.unawaza sana ngono
Kwa sababu ili precum itoke ina maana unajiandaa kupiga bao yani umekua stimulated, so ina maana ukiongea na mwanamke tu ushawaza ngono na kwa kua umejizoeza hivyo au umepiga sana punyeto kuna vitu vitatu vinaweza kua vimetokea
1.valve za kuzuia hiyo precum zimelegea
2.parasympathetic nervous system yako inayocontrol ejaculation imeathirika.l au
3.misuli ya chini ya nyonga inayocontrol mkojo, bao na vitu kama hivyo "pubococcygeal" imelegea
Mwa hiyo we ukishawaza ngono tu kila kitu kiko wazi vinapita, na kwa hali hii ipo siku utajipiga bao kwa kuongea tu
4.pia nahisi hata sa hzi unapiga bao mapema sana (premature ejaculation)
Suluhusho
1.ACHA PUNYETO
2.Punguza kuwaza ngono (najua huwezi kuacha ,punguza tu [emoji23] )
Maumivu yakizidi muone daktari (urolojist) kila la heri