Habari zenu wana JF siku hizi nimekua kama nina katatizo kamenianza sijui ni tatizo au uginjwa yaani nikiwa naongea na msichana nikitoka baada ya muda natokwa na ute wa shahawa na muda mwingine napomaliza haja ndogo ute wa shahawa unanitoka...Naombeni msaada ndugu.
Pole sana , hiyo inaitwa "precum" ni kitangulizi cha bao, inatengenezwa na kisehem kinaitwa "seminal vessicles" nyuma ya uume ,hua inatolewa kuneutralize acidity ya urethra na kwenye uke maana chenyewe ni alkaline in nature,pia kulubricate urethra yako kabla bao halijapita.
Turudi kwenye shida yako kuna possibility mbili
1.unapiga sana punyeto
2.unawaza sana ngono
Kwa sababu ili precum itoke ina maana unajiandaa kupiga bao yani umekua stimulated, so ina maana ukiongea na mwanamke tu ushawaza ngono na kwa kua umejizoeza hivyo au umepiga sana punyeto kuna vitu vitatu vinaweza kua vimetokea
1.valve za kuzuia hiyo precum zimelegea
2.parasympathetic nervous system yako inayocontrol ejaculation imeathirika.l au
3.misuli ya chini ya nyonga inayocontrol mkojo, bao na vitu kama hivyo "pubococcygeal" imelegea
Mwa hiyo we ukishawaza ngono tu kila kitu kiko wazi vinapita, na kwa hali hii ipo siku utajipiga bao kwa kuongea tu
4.pia nahisi hata sa hzi unapiga bao mapema sana (premature ejaculation)
Suluhusho
1.ACHA PUNYETO
2.Punguza kuwaza ngono (najua huwezi kuacha ,punguza tu [emoji23] )
Maumivu yakizidi muone daktari (urolojist) kila la heri