Msaada: Nikipaka mafuta ya Vaseline petroleum jelly usoni sehemu ya chini ya jicho huwa panawasha

Atwoki

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
706
Reaction score
383
Wakuu nisaidien hili tatito huwa nikipaka mafuta ya Vaseline petroleum jelly usoni baaz ya sehem chini y jicho huwa pana washa kias flan tatizo n nin et?
 
Yameshakukataa hayo.... tafuta products zingine.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Wakuu nisaidien hili tatito huwa nikipaka mafuta ya Vaseline petroleum jelly usoni baaz ya sehem chini y jicho huwa pana washa kias flan tatizo n nin et?

Daah!

Huo uandishi sasa!

Imebidi nirudie kusoma mara tatu ndo nikaelewa kiasi....
 
dah mi bado sijamuelewa aiseee...maana jicho??? Vaseline kwa chini ya jicho...sidhan kama tunaongelea uso...jamaa litakua litakua mchicha pori
 
Back
Top Bottom