Msaada: Nikishika/kunywa vitu vya baridi au nikiogea maji ya baridi napatokwa na vipele mwilini

Msaada: Nikishika/kunywa vitu vya baridi au nikiogea maji ya baridi napatokwa na vipele mwilini

Bruce2000

New Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Wandugu habari zenu. Nina tatizo sijajua ni allergy au ni nini, siwezi kushia vitu vya baridi au kunywa, mfano maji, soda etc...Hata maji baridi kuogea nashindwa. Ikitokea huwa nakuwa nawashwa mwili mzima na natokwa na vipele. Nahitaji msaada sababu hii hali inaniumiza sana na sijazaliwa nayo.
 
Daah ina maana hakuna ata mmoja anaejua chanzo na tiba ya hili??
 
Ni allergy, kama bado upo hewani jibu kitu hapa ili tukupe ushauri
 
Back
Top Bottom