Msaada: Nikitaka kusoma cheti cha sheria, sifa gani zinahitajika?

skata jr

Member
Joined
Jan 15, 2017
Posts
18
Reaction score
6
Wakuu poleni na kazi, ninaomba msaada katika hili...
Nikitaka kusoma CERTIFICATE OF LAW
ninatakiwa kuwa na vigezo gani?
 
Salaam, unatakiwa kuwa na vigezo vya kawaida tu kama certificate nyingine ila ufaulu wa History na English ni muhimu zaidi.
 
C: CERTIFICATE IN LAW

Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…