Msaada: Nikitaka nitag uzi fulani kwenye comment, nifanyaje?

Msaada: Nikitaka nitag uzi fulani kwenye comment, nifanyaje?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habarini, mara kadhaa nimeona kuna watu wanauliza vitu ambavyo tayari vimeshajadiliwa, sasa kumueleza kitu mtu unakosa apetite ya kuandika hivyo inakuwa bora utag huo uzi ili kuokoa muda.

Naombeni mnielekeze ni jinsi gani naweza kutag uzi wa mtu humu JamiiForums
 
Back
Top Bottom