Msaada. Nikitengeneza popcorn zinaungua na hazipasuki

Msaada. Nikitengeneza popcorn zinaungua na hazipasuki

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
Mwenye ujuz naomb msaada tafadhar,
nimejarb kutengeneza bisi za rangi, mara ya kwanza zikatoka vzr kbsaa, ila baada ya hapo mara zote tatu zimeungua hata kabla ya kupasuka na zikipasuka hazifai kula ni chungu mno,
nimekosea wap? Kile kisufuria chake nimekisafsha lakn wap? Msaada
 
Kule twitter kuna mtu anaitwa kigogo 2014 anajua kila kitu mtafute zitapsuka mpaka uzikatae mwenyewe
 
Hakikisha unaweka mfuta ya kutosha. Na jaribu mvuke mwingi usiingie kwenye sufuria wakati unapika.
 
Nimepata suluhisho 100%,


ilinilazmu ku google, moja ya sbb ikawa ni pengne mahnd yamekauka sanaa,

Kwenye punje ya mhind kwa ndani kwenye kile kimelea kunakua na unyevu unyevu hata km yamekauka,
ila km ile punje imetobolewa au kukauka kupitiliza basi ule unyevu unyevu hupotea wote,

mahind hupasuka sbb jinsi unavyo heat punje basi unyevu unyevu kdg uliopo ndani hugeuka kua mvuke, mvuke huu hutengeneza mkandamizo(pressure) kubwa ndan ya punje,
presure ikizid uwezo wa lile tabaka la juu(hull/pericarp) basi litapasuka na starch na proteins vinatoka.
kwaio punje ikfka juzi joto 180 C, pressure inapanda mpk 930 kPa, hapa lazma ipasuke.

Kwaio mahnd yangu mimi yalikua yamekauka kupitiliza, na nilinunua mifuko miwili kwaio ilinitoka 160k, nikawaza kuyatupa ni hasana,
nikajarb physics moja na ndio iliyoleta matokeo mazuri nikajua kumbe shida ni mahnd.

Nikachukua kikontena nikachota kdg nikayalaza kwenye fridge ya absorb ule ubaridi, asubuh nikatest,
matokeo yake yalipasuka ndani ya dk 2-3 bila kuungua,

Nikagundua pia kuungua kulikua kunasabishwa na kutopasuka.
 
Ration ya ingredients zako pia yaweza kua ni sababu.Labda kuna nachozidisha au unachopunja. Mi sio mpenzi wa popcorn ila mafuta usipunje ila pia yasiwe mengi sana
 
Back
Top Bottom