Msaada; nikituma email kwenye account isiyoishia yahoo.com, haiendi.

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Ninatumia yahoo.com na gmail.com, nikituma mail kwenda account ambazo haziishii na .com, mfano .go.tz, na nyingine kama hizo. Tatizo ni nn tafadhali?
 
Ukituma nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Ninatumia yahoo.com na gmail.com, nikituma mail kwenda account ambazo haziishii na .com, mfano .go.tz, na nyingine kama hizo. Tatizo ni nn tafadhali?

kaka nenda kaombe msaada jukwaa la sayansi na teknolojia kule wapo walobobea kwenye hayo mambo... hapa utakesha.
 
Ninatumia yahoo.com na gmail.com, nikituma mail kwenda account ambazo haziishii na .com, mfano .go.tz, na nyingine kama hizo. Tatizo ni nn tafadhali?

wrong way...!@
 
Mie jana nmetuma email wizara ya elim imegoma, cjui ina7bishwa na nn hii kitu.
 
Back
Top Bottom