Asee wakuu "NIKO VIZURI"
Baada ya kuona imeshindika kabisa kusimama kuna jamaa kabisa nilishaongea nae akasema kijana leta laki 1 tufanye vitu, dah nikapotezea tu(muda mwingine unaweza pigwa pesa kumbe huna tatizo) . Usiku kama utani natoka kuoga saa 4 namkuta shemeji/wifi yenu kajianika ndani ya "lanjarii" nikaona kama ananikejel maana siku 2 nimelala nae ila kama alilala na dada ake tu. Nikasema ngoja nijaribu tuu. Eh kujaribu dude likagoma kabisa kulala mpaka alfajiri, na jioni ikapiga kazi kama kawaida. Kifupi nimesharudi kwenye hali yangu.