Msaada: Nikiwa natafuta bao la pili katikati jogoo anasinzia mpaka napumzika

"Barua ya kufukuzwa kaz" hahaha.
 
Kwanza unadanganya hizo dakika 46 sio kweli.ukute unatumia hata dakika 3.kwann wanaume tunapenda kujikweza wakati sio kama unatumia dk 46 inakaribia saa moja hilo bao la pili la nn? .sema ukweli upatiwe matibabu.

Wala sio kujikweza, Ni ujinga... Dk 46 umekuwa mpira? Hivi kuna mwanamke anaweza Fanya mapenzi dk 46???
 
Guyz achen uchwara dakika 46 ni kawaida for a real man sure maandaliz na kujua how to stop pree ejaculate
 
Dakika 46?? Mhhhh acha uongo kwamba tukuone we mbabe kitandani.......
 
Ahsante sana mkuu...hapa ndipo wengi hatuelewi na kuishia kusononeka tu na kujiona hatufai au nguvu zimepungua na kujitumbukiza kwenye matumizi ya dawa bila kujua uhalisia wa tatizo lenyewe.
Usijilaumu bure. Angalia pia na upande wa pili. Je saiz ni kubwa au ndogo? Je moto au baridi? Maji au kavu? Je anashughulika au gogo? Yapo maswali kibao ya kukusaidia kufika hata5.
Hii sio kazi ya mwanaume peke yake.
 
Napenda watu wanaozungumza ukweli namna hii...Safi sana endelea kuelimisha mkuu
 
Kama la kwanza ni dkk 46 Haina haja la kwenda la pili....Kama anataka la pili huyo mpenzi wako basi angalia hiyo saa unayotumia inawezekana dakika moja ni sekunde 10 Katika saa yako ipeleke kwa fundi akairekebishe.
 
[emoji28][emoji1]umenikumbusha mbali sana mkuu,, unywa nywa,,
 
kwa dakika 46 bao la kwanza ni uongo wa kiwango cha masters .labda ungesema bao la pili na kuendelea ningekubali...sasa kwakua umedanganya sikupi ushaur....kama ni kweli jiangalie unaelekea kua utakua haitoi mbegu tena
 
Kuna watu mnafikiri..... nabkuna watu wanadhani kuchukua muda mrefu ndiyo ulijali...
 
Hakuna mwanaume anayetumia dakika 46 ni uongo huo labda dk 20.... Ushauri punguza punyeto na kutazama video na ngono acha kabisa...,
 
Kama kweli dk 46, huna sababu ya kupiga la pili. Kwan mwanamke akiandaliwa vzr anaridhika ndan ya dk 7 hadi 14 kwisha habari. Hizo zako 46 nina mashaka nazo
 
Guyz achen uchwara dakika 46 ni kawaida for a real man sure maandaliz na kujua how to stop pree ejaculate
Kuna wakati nawaza....hivi kipimo cha u-real man ni nini..?
1. kuna watu kufungwa gereza la guantanamo ndo kipimo..
2. Wengine kugegeda bao moja kwa dakika 46...
3. wengine familia ikipata inachotaka ndo kipimo..
4. Wengine kupiga wengine na kuogopwa na kila mtu ndo kipomo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…