Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Nilichokiona watu mnabisha vitu msivyo vijua mbona ata mm la kwanza saa 1 linakwisha kila mwanamke niliyetoka naye lazima ana niambie natumia madawa ila sijawai kula dawa yeyote ndiyo jinsi nilivyo paka uwa nawaza ni tatizo auNikiwa nafanya sex mara nyingi bao la kwanza huwa natumia dakika 46 but nikiwa round ya pili utakuta katikat ya game jogoo anasinzia mpaka nipumzike kidogo tena ndio mpango mzima sasa ni nini tatizo?
Jinsi ulivyocomment hapa niwazi kwamba kijana hu dhaifu sana....Dk 46 kitu ya kawaida sana kwa mwanaume wa shoka...sema alipaswa kupumzika tu kisha akaanza kupandia mzigo upya...nakubaliana na jamaaa...hata one hour anaweza fikisha kabisa akiweka mind yake sawa...kwa dakika 46 bao la kwanza ni uongo wa kiwango cha masters .labda ungesema bao la pili na kuendelea ningekubali...sasa kwakua umedanganya sikupi ushaur....kama ni kweli jiangalie unaelekea kua utakua haitoi mbegu tena
Hizo dk 46 ndiyo goli la kwanza lonatoka ni tatizo linalosababisha tatizo kwenye utafutaji wa goli la piliNikiwa nafanya sex mara nyingi bao la kwanza huwa natumia dakika 46 but nikiwa round ya pili utakuta katikat ya game jogoo anasinzia mpaka nipumzike kidogo tena ndio mpango mzima sasa ni nini tatizo?
Makapuku atuzizimii kbs story hz,asithubutu kuzileta kwenye jukwaa letuStory kama hizi peleka uwanja wa makapuku