MSAADA niliapply masomo ya afya kupitia Nacte Central admission system(CAS) ila nimechaguliwa hapa

Sweet mangi

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
14
Reaction score
5
Kama kuna yeyote Mwenye ufahamu kuhusu kozi hii anifafanulie tafadhali
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-17-10-31-24-1.png
    95.9 KB · Views: 64
Sweet mangi: 17264324 said:
Kama kuna yeyote Mwenye ufahamu kuhusu kozi hii anifafanulie tafadhali
Kwanza pole na Michosho ya NACTE kukupangia mahali ambapo hukupenda. Pole sana.

Pili,hii ishu yako ingetakiwa iwe jukwaa la Elimu na wala siyo Jukwaa la JF Doctors. Hili jukwaa ni specific kwa kutoa elimu mahususi kuhusu Afya ya jamii,tiba na magonjwa yanayowanyemelea watu na hatua za kuchukua.
Wewe hilo lako halihusiani na afya au maradhi.

Tatu,hiyo ni kozi kam kozi nyingine tu. Hapo unaenda kusoma Udaktari wa Wanyama. Uzuri umepangiwa chuo standard kwenye kozi husika. Ni kozi nzuri na kama utaendelea vema baadae ukajiendeleza utasoma Shahada ya mambo ya mifugo pale Sokoine University (SUA). Ajira zake zipo na zinalipa.
Lakini zaidi fata kitu kipendacho roho. Kama hupendi mifugo basi achana na hiyo kozi. Tafuta jinsi uende ukasome chuo kinachotoa Kozi za afya kama Clinical Officer au Uuguzi.

Mwisho nikutakie kila la kheri.
 
Pamoja na majibu mazuri nifafanue hili la pangiwa ili tusiendelee kupotishana. Kwanza nacte hawampangii mtu bali yeye ndio alipewa option ya kufanya machaguo anayoyataka kulingana na sifa stahiki kisha akachaguliwa mojawapo. Na hawaoti kuwa wewe ulitaka huko bali ulichagua mwenyewe. Siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…