M mawazoni Member Joined Nov 25, 2012 Posts 27 Reaction score 6 Feb 2, 2013 #1 jaman nsaidien kesi bado mbichi npo police cjalewa ila kutokana na uchovu nmelala kwenye mataa na ktk wallet nina buku tano tu. police amenipeleka officin kwake. adhabu alali kwangu ni ipi?
jaman nsaidien kesi bado mbichi npo police cjalewa ila kutokana na uchovu nmelala kwenye mataa na ktk wallet nina buku tano tu. police amenipeleka officin kwake. adhabu alali kwangu ni ipi?