Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kama yupo chuo kikuu au Diploma anaweza kuingia katika mtandao wake wa Chuoni na akapata details zake za malipoAsalaam aleykum, na ijumaa kareem jamiya!
Habarini,
Kuna malipo nilifanya kwa chuo fulani kiasi cha shs 500,000/-mwaka jana may, utaratibu wangu ni kuwa baada ya kulipa nmb wakala, huipiga picha pay in slip na kuituma kwa muhusika naye hui print na kuiwakilisha chuoni na ndipo huruhusiwa kupiga hatua fulani za masomo yao,
Sasa baada ya kufanya malipo hayo mwezi may mwaka jana, katika kaguzi zao hapo chuoni wamekuta ya kijana haikuwakilishwa, ajabu ni kuwa kama haikuwakilishwa asingelikuwepo chuoni mpaka muda huu,
N. B, vyuo huwa viko makini sana na ADA kuliko chochote kile, pia bahati mbaya receipt ile ya tokea mwaka jana imenipotea, kwa issue ya namna hii naweza kufanyaje kupata kopi ili niwakilishe tena chuoni, malipo nilifanya mwaka jana mwezi wa tano, tarehe nimepoteza kwa kweli
Msaada pls.
Inatakiwa risitiKama yupo chuo kikuu au Diploma anaweza kuingia katika mtandao wake wa Chuoni na akapata details zake za malipo
Mfumo wa kozamani uo vyuo vya nchii bado wapo nyuma Mimi chuo nilivyosoma ulikuwa ukilipa Ada haina haja ya kutunza risiti Tena maana Taarifa za malipo zinaingia katika account yako ya chuoInatakiwa risiti
Yupo diploma utitiri wa risiti zote wameziona mpaka nilizolipia mwaka huu 2023, mkuu hiyo risiti moja tu ndio issue, nafikiria kwenda bank, kwani huko si watakuwa na rekodi zote za miaka na miaka?Kama yupo chuo kikuu au Diploma anaweza kuingia katika mtandao wake wa Chuoni na akapata details zake za malipo
Mkuu Mwambie huyo kijana aingie katika Account yake ambayo huweka matokeo yake ya kila semester wanaoneshaga malipo yoteYupo diploma utitiri wa risiti zote wameziona mpaka nilizolipia mwaka huu 2023, mkuu hiyo risiti moja tu ndio issue, nafikiria kwenda bank, kwani huko si watakuwa na rekodi zote za miaka na miaka?
Huu ni uhuni tu wanafanya. Kwani fedha zikiibgia kwenye account ya shule si huwa inaonyesha?Mfumo wa kozamani uo vyuo vya nchii bado wapo nyuma Mimi chuo nilivyosoma ulikuwa ukilipa Ada haina haja ya kutunza risiti Tena maana Taarifa za malipo zinaingia katika account yako ya chuo
Kwani hiyo risiti ya benki muwekaji jina lake ni nani ?.Asalaam aleykum, na ijumaa kareem jamiya!
Habarini,
Kuna malipo nilifanya kwa chuo fulani kiasi cha shs 500,000/-mwaka jana may, utaratibu wangu ni kuwa baada ya kulipa nmb wakala, huipiga picha pay in slip na kuituma kwa muhusika naye hui print na kuiwakilisha chuoni na ndipo huruhusiwa kupiga hatua fulani za masomo yao,
Sasa baada ya kufanya malipo hayo mwezi may mwaka jana, katika kaguzi zao hapo chuoni wamekuta ya kijana haikuwakilishwa, ajabu ni kuwa kama haikuwakilishwa asingelikuwepo chuoni mpaka muda huu,
N. B, vyuo huwa viko makini sana na ADA kuliko chochote kile, pia bahati mbaya receipt ile ya tokea mwaka jana imenipotea, kwa issue ya namna hii naweza kufanyaje kupata kopi ili niwakilishe tena chuoni, malipo nilifanya mwaka jana mwezi wa tano, tarehe nimepoteza kwa kweli
Msaada pls.
Wanataka kumsumbua mzaziHuu ni uhuni tu wanafanya. Kwani fedha zikiibgia kwenye account ya shule si huwa inaonyesha?
Nakubaliana na wewe wanachofanya ni uhuni, kwa 100%,na kwa chuo ambacho anasoma usipolipa husomi hawana subira, wala huruma, how baada ya kuonyesha risiti aliendelea?, najiandaa kukianika hapa lives, na uhuni wao!Huu ni uhuni tu wanafanya. Kwani fedha zikiibgia kwenye account ya shule si huwa inaonyesha?
Habari mkuu risiti katika milpaji huandikwa Jina la mwanafunzi husika, mlipwaji huwa ni chuo husika, na a/c ya chuo husika mkuu, ninachoomba ni solutions!Kwani hiyo risiti ya benki muwekaji jina lake ni nani ?.
Mambo mengine muache kusumbua watu na sijui chuo unaenda kupunguza ushamba au kuongeza.
Kuna risiti isiyokuwa na taarifa ya muwekaji wakati unaweka ada ya chuo
Bank zipo, last time nilipoteza pia nikaenda pewa kopy nililipa 50000 ilikuwa 2018.Yupo diploma utitiri wa risiti zote wameziona mpaka nilizolipia mwaka huu 2023, mkuu hiyo risiti moja tu ndio issue, nafikiria kwenda bank, kwani huko si watakuwa na rekodi zote za miaka na miaka?
Vyuo vyote Tz ukilipa nakufanya registration ya semister husika tu record zote zinakuwa digitalized kusumbuana kuhakiki na risiti ni wao tu ndio wanasumbuaMfumo wa kozamani uo vyuo vya nchii bado wapo nyuma Mimi chuo nilivyosoma ulikuwa ukilipa Ada haina haja ya kutunza risiti Tena maana Taarifa za malipo zinaingia katika account yako ya chuo
Mkuu nimesoma hapa na kupiga simu direct ajabu, anasema katika account yake hakukuwa na gap ya kutokulipa, to date, wameshtukizwa tu angalieni account zetu ndipo akaona gap ya kutokulipa, possibly ma I. T wamefanya mpango kazi mkuu.Mkuu Mwambie huyo kijana aingie katika Account yake ambayo huweka matokeo yake ya kila semester wanaoneshaga malipo yote
Mfumo nahis umeshake ebu wasiliana na IT wa chuo Mkuu then taja chuo yawezekana tukapata msaada haraka maana lakitano ni hela nyingi Sana kwa Muda huu hasa ukizingatia na uchumi wetu WatzMkuu nimesoma hapa na kupiga simu direct ajabu, anasema katika account yake hakukuwa na gap ya kutokulipa, to date, wameshtukizwa tu angalieni account zetu ndipo akaona gap ya kutokulipa, possibly ma I. T wamefanya mpango kazi mkuu.