nenda benki husika waeleze kuwa ulideposit pesa kwa wakala na kwa bahati mbaya risiti umeipoteza watakupa kopi uipeleke chuo, niliwahi poteza risiti ya malipo ya shule kwa ajili ya mdogo wangu na ulipita zaidi ya mwaka kikubwa na kukumbuka tarehe uliyoweka fedha.