Naomba msaada kama hili jambo linawezekana nlipatiwa mkopo na nakautumia mwaka wa kwanza na baada ya hapo nmebadilisha kozi na sahiv nipo tena mwaka wa kwanza nataka niombe mkopo ntakapo ingia mwaka wa pili hili lmekaaje wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.