issawema JF-Expert Member Joined May 30, 2013 Posts 776 Reaction score 643 Feb 21, 2015 #1 Habari zenu Naomba msaada kama hili jambo linawezekana nlipatiwa mkopo na nakautumia mwaka wa kwanza na baada ya hapo nmebadilisha kozi na sahiv nipo tena mwaka wa kwanza nataka niombe mkopo ntakapo ingia mwaka wa pili hili lmekaaje wakuu
Habari zenu Naomba msaada kama hili jambo linawezekana nlipatiwa mkopo na nakautumia mwaka wa kwanza na baada ya hapo nmebadilisha kozi na sahiv nipo tena mwaka wa kwanza nataka niombe mkopo ntakapo ingia mwaka wa pili hili lmekaaje wakuu
O Olaph.uk Member Joined Sep 5, 2013 Posts 51 Reaction score 5 Feb 22, 2015 #2 kwa serikali ya tanzania hapo sahau, ukipata tumia, kam ilibatilisha, cdhan ka itapata tena
L lukubuzo Samsis JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 2,920 Reaction score 3,388 Feb 22, 2015 #3 tamaa xx hzo nyie ndo mmesababish mpk washkaj na madem zetu wanyimwe mkopo hapo labda ukakop saccos
issawema JF-Expert Member Joined May 30, 2013 Posts 776 Reaction score 643 Feb 22, 2015 Thread starter #4 lukubuzo Samsis said: tamaa xx hzo nyie ndo mmesababish mpk washkaj na madem zetu wanyimwe mkopo hapo labda ukakop saccos Click to expand... Tamaa ziko wapi sasa mkuu
lukubuzo Samsis said: tamaa xx hzo nyie ndo mmesababish mpk washkaj na madem zetu wanyimwe mkopo hapo labda ukakop saccos Click to expand... Tamaa ziko wapi sasa mkuu
issawema JF-Expert Member Joined May 30, 2013 Posts 776 Reaction score 643 Feb 22, 2015 Thread starter #5 Olaph.uk said: kwa serikali ya tanzania hapo sahau, ukipata tumia, kam ilibatilisha, cdhan ka itapata tena Click to expand... So hata swala la corz nayosoma halina mashiko maana inabidi nipewe mia
Olaph.uk said: kwa serikali ya tanzania hapo sahau, ukipata tumia, kam ilibatilisha, cdhan ka itapata tena Click to expand... So hata swala la corz nayosoma halina mashiko maana inabidi nipewe mia