Spalulu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 284
- 146
Habari wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika lugha, katika chuo kimojawapo nchini. Nafanya utafiti mdogo katika "Maasai Nominal Morphology"( kama hujui hii terminology usihangaike sana) wanaoelewa watanisaidia. Tafadhali mwenye fununu na jambo hili anipe abc, utakuwa umefanikisha na kurahisisha sana kazi yangu. Nategemea wadau wa lugha za Tanzania na wazungumzaji wa lugha hii kuwa msaada mkubwa sana kwangu. Natanguliza shukrani zangu.