Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio sehem nilipo na hosp ni mbali ndio maana nikaomba huduma ya kwanza.Sometimes I don't understand you guys. Umeamka unajisikia/unajiona tofauti badala uende Hospitali unakuja JF kupost.
Nashukuru sana kwa uungwana wako mkuu nitafanya hivyo.Hiyo itakuwa ni aleji tu.chemsha maji (kiasi cha nusu beseni lako dogo linalotosha kichwa kuzama) weka vijiko kumi vya chakula vya chumvi ichemkie, yaache yawe vuguvugu. Weka kwenye beseni ingiza kichwa kwa staili ya kuogelea huku macho yakitazama maji. Hii ni kwa ajili ya kufanya usafi wa macho na kuondoa allergens.
Nenda duka la dawa waambie wakupe dawa ya aleji, zipo nyingi hazina madhara hata kama hauna aleji.
Likiendelea kuvimba na kuuma nenda muone daktari.
Nashukuru sana kwa uungwana wako mkuu nitafanya hivyo.