Akili Sina
JF-Expert Member
- Jan 18, 2018
- 303
- 2,248
Shukrani mkuu,ukiamua kuacha kazi kwa notice ya 24hours wewe ndio unamlipa mwajiri.
lakini ukitoa notice ya 1 month ni jukumu la mwajiri kukulipa mshahara wako wa mwisho na stahiki nyingine kama unastahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Stahiki nyingine ni zipi mbali na likizoukiamua kuacha kazi kwa notice ya 24hours wewe ndio unamlipa mwajiri.
lakini ukitoa notice ya 1 month ni jukumu la mwajiri kukulipa mshahara wako wa mwisho na stahiki nyingine kama unastahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kama huku specify kama ni 24hrs or 28 daysWe itakuwa umesubmit hiyo barua kwa mwajiri wako ikionesha unataka kuacha kazi under 24hrs notice Yaani ndani ya masaa 24. Hapa inapaswa wewe ndio umlipe mwajiri wako basic salary ya mwezi mmoja kwasababu umemshtukiza na hakujianda kwa replacement ya gafla uliyoisababisha.
Kama barua yako ikionesha kuwa unaacha kazi baada ya siku 28 maanaake kwamba umempa muda wa kutosha mwajiri wako ili atafute replacement wako, kwa njia hii hutamlipa chochote zaidi ya yeye mwisho wa mwezi kukulipa stahiki zako zote
Resignation letter lazima i specify muda, Kama haijaonesha muda hiyo wataiconsider kama ya ndani ya masaa 24 na utapaswa kulipa wewe basic salary ya mwezi mmoja.
Kama una madai yoyote labda Likizo utapewa kama na wao utawarudishia vifaa vyao vyote ikiwemo uniform na kitambulisho.
ukiacha likizo, labda overtime, pia jamaa akaangalie katika mifuko ya kijamii kama michango yake ilikuwa inawasilishwa kila mwezi na mwajiri. mimi baada ya kuwa nje ya ajira nilivyoenda nssf nilikuta kama miezi kadhaa hivi michango haikupelekwa.
Habarini wakuu,
Nimeandika barua ya kuacha kazi, naambiwa sheria inasema natakiwa nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja kwavile sikumpa notice.
Nikajitetea kuwa mkataba wangu ulishaisha toka 2018 na sijasaini mwingine, naambiwa sheria inasema kama mkataba wa kwanza umeisha na hamjaingia mkataba mwingine basi ule ulioisha unajirenew automatically.
Pia mbali na likizo zako, je ni benefits gani nyingine naweza kupata? Nimefanya kazi miaka 3.
Msaada kwa wanaojua hizi sheria please
Sent using Jamii Forums mobile app